Breaking News

TAZAMA WEMA SEPETU AFUNGUKA MAZITO BAADA YA BIRTHDAY YAKE

 


WEMA SEPETU afunguka mambo kadha wa kadha yaliyojiri siku ya birthday yake
asema hakupendezwa na kitendo MAMA yake alichomfanyia mbele za watu bila taarifa yoyote pia amefunguka kuwa WHOZU aliondoka kmya bila kumuaga na kumfanya abaki mwenyewe kwenye nyakati ile ngumu hivyo akajikuta aknywa pombe kwa siku mbili mfululizo kupunguza mawazo
 



0 Comments

Advertisement
Advertisement
Advertisement
Advertisement

Type and hit Enter to search

Close