Breaking News

Harmoize alivyompandisha Jukwaani Abby Chams na kumkatikia mauonnu Jukwaani

 


Moja ya ngoma yenye Viewers wengi zaidi Youtube kwenye akaunti ya @harmonize_tz ni hii Kwamgwaru. Ni moja ya ngoma pendwa za Mashabiki zake, alifanikiwa kuicheza jukwaani.

Mpaka sasa Kwanngwaru ndio wimbo wenye viewers wengi zaidi wa Harmonize ukiwa na Viewers milioni 107

Mbali na hilo Harmonize alifanikiwa kumpandisha Msanii mwenzake Abbygail Chams Jukwaani na Utapenda mauno ya bidada @abigail_chams mbele ya @harmonize_tz wakati wakitoa burudani kwenye show ya @harmonize_tz The Super Dome Masaki.


0 Comments

Advertisement
Advertisement
Advertisement
Advertisement

Type and hit Enter to search

Close