Breaking News

BREAKING: Bondia Mwakinyo Afungiwa Kucheza Ngumi

 




Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungia bondia Hassan Mwakinyo kupanda ulingoni kwa mwaka mmoja ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1.

TPBRC imemfungia Mwakinyo kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike Septemba 29 mwaka huu.


0 Comments

Advertisement
Advertisement
Advertisement
Advertisement

Type and hit Enter to search

Close